
SIMBA leo Februari 6,2025 wamebanwa katika dimba la Tanzanite Kwaraa, Babati kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji Fountain Gate Fc waliomaliza wakiwa pungufu ya mchezaji mmoja baada ya golikipa John Noble kuoneshwa kadi nyekundu kwa kupoteza muda.
Wafungaji ni Ateba dakika ya 57 na Chasambi (og) dakika ya 67.
