×

Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Viongozi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi leo, tarehe 13 Februari 2025, katika nafasi za kiutendaji serikalini.