×

Wolper Ajilipua Harusi Ya Hamisa Na Aziz Ki, Msikilize Mwanzo Mwisho – Video


Msanii wa sanaa ya Uigizaji nchini, Jackline Wolper amefunguka na kueleza kuwa, Aziz KI na Mobetto wanapaswa kupendana na kusikilizana siyo kusikiliza maneno ya watu.