×

Rais Dkt. Samia Afungua Jengo La Halmashauri Ya Bumbuli-Lushoto (Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi Lushoto mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Jengo la Almashauri ya Bumbuli Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga, leo tarehe 24 Februari, 2025.