Rais Dkt. Samia Afungua Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Tanga – Video
Global Publishers February 25, 2025 4,832 views
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 25 Februari, 2025 amefungua Shule ya Wasichana ya Sekondari Tanga na Kuzungumza na Wananchi wa Kilindi Tanga.