Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba usiku leo Januari 27, 2025 alishindwa kupafomu katika Tuzo za Trace Music Awards zilizofanyika visiwani Zanzibar na kuondoka wakati tuzo zikiendelea, jambo lililotafsiriwa na wengi kwamba amesusa.
Bado hakuna maelezo yoyote kwa nini Kiba aliamua kukacha shoo hiyo kubwa.