×

Harmonize Kashindikana, Azua Balaa Kwenye Jukwaa La Trace, Aamsha Waliolala – Video

Balaa la Msanii Harmonize katika usiku wa tuzo za Trace Awards 2025 zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Februari 27, 2025 Visiwani Zanzibar.