×

Baba Ataja Sababu Gideon Kukatwa Mkono, Alizaliwa Akiwa Mzima


Unaambiwa kabla hujafa, hujaumbika! Mkasa wa mtoto Gideon Yohana mwenye umri wa miaka 10 tu, unasikitisha sana.
Alizaliwa akiwa mzima kama walivyo watoto wengine lakini sasa, amekatwa mikono yote miwili.
Baba Mzazi wa Gideon amefunguka na kueleza sababu zilizopelekea mtoto wake kukatwa mkono.
Unaweza kumchangia kupitia namba-:
0755 943 661 (Yohana Gilayo)