
Azam FC imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (Kombe la FA ) kufuatia kipigo cha penalti 4-2 dhidi ya Mbeya City katika dimba la Azam Complex, Chamazi kwenye hatua ya 32 bora ya michuano hiyo. Mbeya City imetinga hatua ya 16 bora.
FT: Azam FC 1-1 Mbeya City
⚽ 90+4’ Yahya Zayd
⚽ 65’ Lukandamila
PENALTI:
Azam FC: ✅✅❌❌
Mbeya City: ✅✅❌✅✅
Manchester United pia imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la FA kufuatia kipigo cha penalti 4-3 dhidi ya Fulham kwenye robo fainali katika dimba la Old Trafford.
FT: Man United 1-1 Fulham
⚽ 71’ Bruno
⚽ 45+1’ Bassey
MATUTA:
Man Utd: ✅ ✅ ✅ ❌❌
Fulham: ✅ ✅ ✅✅