×

Rais Samia alivyowaandalia Iftar viongozi wa dini na Wazee wa Mkoa wa Dar – Picha

 

Rais Samia akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan Machi 5, 2025 aliwaandalia Iftar viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam Iftar katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam .

Viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais Samia, Ikulu Jijini Dar.
Sheikh Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (kulia) akiongea jambo na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais Samia, Ikulu Jijini Dar.
Shabiki mashuhuri wa Yanga SC, Omary Shamte ‘Mzee Mpili’
Mfanyabiashara na shabiki wa Simba, Azim Dewji.
Viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025.