×

Nafasi Za Kazi Taasisi Ya Utafiti Wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI)

Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI), kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inakaribisha wataalamu wenye sifa za juu, wenye matokeo bora, wanaojituma, waadilifu, wabunifu, na wenye sifa stahiki kutoka Tanzania kujaza nafasi tatu (03) zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini.