×

Kaka Afunguka Kilichomfanya Hamis Akiri Kumuua Naomi

Kaka wa marehemu Naomi Marijani aliyeuawa kikatili na mumewe kisha mwili wake kuchomwa moto kwa mkaa mpaka kubaki majivu, amesimulia jinsi mume wa marehemu, Said Luwongo alivyokiri kumuua mkewe na kumchoma, zikiwa ni siku sitini tangu kutokea kwa tukio hilo.