The House of Social Media
gunners X

Wapenzi wa Kasino, Karibuni kwenye Mchezo waKuvutia wa Sloti!

Sub: Wild 81 ni sloti ya kawaida iliyotengenezwa na mzalishaji wamichezo ya kasino ya mtandaoni Fazi. Katika mchezo huu, jokerswanatarajiwa kuongezeka maradufu kwenye ushindi wako. Mbali nahilo, kuna alama za siri, bonasi ya Kamari/Gamble, na jackpot tatu.

Meridianbet kuna mchezo wa sloti wa kusisimua sana ambao utakufurahisha. tapendakupata jokers na alama za siri kwenye safu kwani zinaweza kukuletea ushindi mkubwa. Ni wakati wa kuanza safari ya ushindi wa kiwango cha juu kwa kucheza kasino yamtandaoni. Jisajili Meridianbet ongeza salio upate bonsai ya ukaribisho.

Maelezo Muhimu

Wild 81 ni mchezo wa kasino ya mtandaoni wenye safu nne katika mistari mitatu na inamchanganyiko wa ushindi kwa njia 81. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima uunganishe alamatatu au nne katika mfululizo wa ushindi.

Mchanganyiko wote wa ushindi, isipokuwa wale wenye alama za siri, huhesabiwa kutokakushoto kwenda kulia kuanzia safu ya kwanza upande wa kushoto.

Kwa kila mfululizo wa ushindi, unalipwa ushindi mmoja. Ikiwa utakuwa na mchanganyiko zaidiya mmoja wa ushindi, utalipwa ushindi wa thamani kubwa zaidi. Kujumlisha ushindi niinawezekana ikiwa utaunganisha mfululizo wa ushindi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.

Ndani ya sehemu ya Bet kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza thamani ya dau lako kwa kilamzunguko  wa kasino ya mtandaoni unaoucheza. Pia, kuna kipengele cha Autoplay unachowezakukiwezesha wakati wowote upendao. Kupitia kipengele hiki, unaweza kuweka hadi mizunguko1,000 kwa raundi moja.

Ikiwa unapenda mchezo wa kasino ya mtandaoni wenye kasi zaidi, tuna suluhisho kwa hilo pia. Washa mizunguko ya haraka kwa kubofya sehemu yenye picha ya radi.

Alama za Mchezo wa Sloti Wild 81

Alama za mchezo huu wa kasino ya mtandaoni zimegawanywa katika makundi kadhaakulingana na thamani ya malipo. Malipo madogo huletwa na alama za ndimu na cherries. Kuna jozi nyingine ya matunda yenye malipo sawa, nayo ni machungwa na plamu.

Alama ya zabibu inaleta malipo makubwa kidogo. Ukiunganisha alama nne za zabibu katikamchanganyiko wa ushindi utapata mara 10 ya dau lako.

Tikitimaji lina thamani kubwa zaidi kati ya alama zote za matunda. Ukiunganisha tikitimajimanne katika mfululizo wa ushindi utapata mara 15 ya dau lako.

Alama za Bar mara tatu zinaleta malipo makubwa zaidi. Ukiunganisha alama nne za Bar katikamchanganyiko wa ushindi utapata mara 25 ya dau lako.

Moja ya alama zenye thamani kubwa katika mchezo ni kengele ya dhahabu. Ukiunganisha alamanne za kengele katika mfululizo wa ushindi utapata mara 50 ya dau lako.

Thamani kubwa zaidi katika mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Wild 81 huletwa na alamanyekundu ya Lucky 7. Ukiunganisha alama nne za Lucky 7 katika mfululizo wa ushindi utapatamara 400 ya dau lako.

Michezo ya Bonasi na Alama Maalum

Alama ya Joker imewakilishwa kwa rangi ya kijani na ina nembo ya Wild. Inabadilisha alamazote isipokuwa za siri na kusaidia katika kuunda ushindi.

Joker inapojitokeza kwenye mfululizo wa ushindi kama alama mbadala itaongeza mara mbilithamani ya ushindi wako.

Alama ya siri imewakilishwa na alama ya swali. Inapojitokeza mara tatu au nne inaleta malipokwa kanuni zifuatazo:

Alama tatu za siri kwenye safu zinaweza kuleta mara moja hadi 40 ya dau lako.
Alama nne za siri kwenye safu zinaleta mara nne hadi 400 ya dau lako.

Kwa msaada wa bonasi ya kamari unaweza kuongeza mara mbili ushindi wako. Unahitaji tukubashiri rangi ya kadi inayofuata itakayotolewa kutoka kwenye meza.

Mchezo una jackpot tatu zinazoendelea ambazo unaweza kushinda kwa bahati nasibu. Zinajumuisha: jackpot ya dhahabu, platinum, na almasi.

Karibuni kwenye mchezo wa Wild 81 sloti inayopatikana Meridianbeet Kasino ya Mtandaoni, sehemu ambapo ushindi mkubwa na burudani isiyokuwa na ukomo vinakutana!

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino yamtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwakubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA*149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Comments are closed.