
Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye uwezo, wabunifu, uzoefu na sifa stahiki kuomba nafasi kumi na saba (17) za kazi zilizoainishwa hapa chini.
-OCCUPATIONAL HYGIENE INSPECTOR II – 4
-ENGINEER II (PLANT) – 3
-ENGINEER II (ELECTRICAL) – 2
-ENGINEER II (BUILDING AND CONSTRUCTION) – 5
-QUALITY ASSURANCE OFFICER II – 2
-OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II – 1
BONYEZA HAPA Kusoma zaidi >>>NAFASI ZA KAZI OSHA
Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni Machi 25, 2025.