×

Video: Imelda Alivyomsapraiz Carina Wodini India, Afunguka Mazito!

Mwandishi mahiri wa habari kutoka Global TV, Imelda Mtema amefunga safari mpaka nchini India kwenda kufuatilia maendeleo ya mwanadada Caroline Hawa almaarufu Carina ambaye alipelekwa nchini humo kwa matibabu.

Carina amefanyiwa upasuaji mkubwa wa tumbo kutibu tatizo lililomtesa kwa miaka mingi.