×

Mkuu wa Wilaya ya Masasi Atenguliwa, Kasanda Achukua nafasi Yake


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Rachel Stephen Kasanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi. Bi. Kasanda anachukua nafasi ya Bw. Lauteri John Kanoni ambaye uteuzi wake umetenguliwa.