×

Bei Ya Mafuta Yazidi Kupaa, Kuanza Kutumika Leo Jumatano Aprili 2, 2025

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika kuanzia leo Jumatano, Aprili 2, 2025 saa 6:1 usiku huku bei ya Petroli ikizidi kupaa ikilinganishwa na mwezi Machi.