×

Nafasi za Kazi 48 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwisho wa maombi Aprili 10, 2025

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa zinazostahili ili kuzingatiwa kwa ajira ya haraka kujaza nafasi 48 za kazi za kitaaluma kama ifuatavyo:

Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 10 Aprili, 2025.

Kusoma nafasi za kazi zote zilizotangazwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam bonyeza hapa chini

NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM >> UDSM KAZI HAPA