
Kaka wa hiyari wa marehemu Carina ambaye ndiye aliyesafiri naye hadi nchini India, amefunguka kuanzia jinsi alivyokutana na Carina mpaka kufikia hatua ya kuwa mwanafamilia.
Video kamili ipo Youtube, Global TV.
🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.