×

Mapya! Sakata La Mwijaku Na Wanafunzi Wa Chuo, Penzi La Diamond Na Zuchu -Video

Imelda Mtema, mtangazaji wa Global TV, ni miongoni mwa waandishi wa habari ambao wamedumu kwenye urafiki na mastaa wa tasnia mbalimbali kwa muda mrefu, kiasi cha kuwa kama familia.