Hali ya mwanadada Wastara Juma, ni tete! Anaumwa, tumbo limevimba, ngozi inababuka na pia anaeleza kuwa kuna madhara ameyapata kwenye ini.
Chanzo cha yote, anadai kuwa ni kuwekewa sumu na wabaya wake!
Kama umeguswa na unataka kumsaidia Wastara, tuma chochote kupitia namba 0768 666113.