×

Spika Zungu Alipuka Bungeni, Amtwanga Mwana-FA Swali Zito Kuhusu Dabi Ya Kariakoo – Video


Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Hamis Mwinjuma ameeleza kuwa mpaka sasa Viwanja vyetu vipo tayari kwa mashindano ya CHAN 2025.

Ameyasema hayo leo Mei 30, 2025 Bungeni Dodoma wakati alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Makete, Festo Sanga.