Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalumu ya Heshima kutoka kwa Bunge la Tanzania ikikabidhiwa na Spika wa Bunge hilo Dkt, Tulia Ackson ikiwa ni Tuzo ya kuthamini kazi Kubwa na Nzuri aliyofanya katika kuleta Maendeleo Nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.



Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi Ruth Zaipuna akifuatilia kilichokuwa kikiendelea mbele wakati wa hafla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima.