
Meridianbet wamezindua promosheni mpya ya AVIATOR ambayo kupitia mchezo huo wa kasino unaweza ukajishindia simu janja aina ya Samsung A25 mpya kabisa. Huenda hii ni zamu yako. Ingia Meridianbet na ucheze Aviator sasa,
Ndugu mteja wa Meridianbet kama tunavyojua kuwa ligi mbalimbali za mpira Duniani zimemalizika na zingine zinaenda kumalizika hivyo wakali wa ubashiri wakaona kuwa sio mbaya wakakuletea ofa kabambe kabisa ambayo inatoka kwenye mchezo wa kasino ambayo ni ya AVIATOR.
Yaani namaanisha kupitia Aviator unaweza ukajishindia Samsung A25 mpya kabisa hivyo unachotakiwa kufanya ni kuweka dau lako na kuanza kucheza sasa kwani kadri unavyocheza ndivyo unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kuwa mshindi kila Jumatatu.
Ikumbukwe kuwa kila mchezaji ambaye anacheza ana nafasi moja au zaidi ya kushinda kulingana na idadi ya dau ambalo ameweka. Muda wa Promosheni hii ni siku 28 tuu kuanzia sasa kwani ilianza jana tarehe 1 Juni na mwisho wake itakuwa ni taraehe 30 Juni.
Ukiachana na promosheni hiyo ya aviator, pia unaweza kutengeneza pesa kwa kucheza michezo mingine ya Kasino kama vile, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na utengeneze pesa hapa.
Wakati promosheni hii ikiendelea Meridianbet wametenga siku moja ya kutoa simu mbili kwa washindi ambayo itakuwa ni Jumatatu, hivyo ndugu mteja ukiwa unacheza kumbuka kuwa unaweza ukawa moja ya washindi ambao atajipatia Samsung A25 yake kali kabisa Jumatatu.
Jinsi ambavyo unacheza mara nyingi ndivyo ambavyo unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kuibuka kidedea kwenye promosheni hii. Unasubiri nini sasa?. Ingia Meridianbet lakini pia unaweza ukabashiri mechi za ligi za wanawake zinazoendelea kwenye tovuti ya Meridianbet. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili na ubashiri hapa.
Meridianbet inasisitiza kuwa hakuna masharti magumu kwenye kushiriki Promosheni hii, pia kila mchezo ni nafasi ya wewe kushinda. Vilevile washindi lazima watangazwe kila wiki ambapo itakuwa ni Jumatatu.