×

Kamanda wa Polisi Dodoma Ahamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) George Katabazi

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura amefanya uhamisho wa Makamanda watatu, Waliohamishwa ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) George Katabazi ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Dodoma.