×

Majaliwa Amwakilisha Rais Samia Kwenye Maadhimisho Siku Ya Kupiga Vita Dawa Za Kulevya

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Juni 26, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni: “Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya Dawa za Kulevya”.