×

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumanne Julai 1, 2025 saa 6:01 usiku.