×

Mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Dar Achukua Fomu ya Kuwania Ubunge Segerea

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM,ambaye ni mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Dar es Salaam, Lamecky Nyambaya amejitokeza na kuchukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Segerea.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu na Kati Katibu wa Wilaya Ilala Chief Silvester Yaredi,amesema nia ya kuomba ridhaa kwa chama chake cha CCM,inatokana na kazi kubwa ambayo imefanywa na Mhe Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea maendeleo  kwa wananchi