×

Nyambaya arudisha fomu kuwania Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Lamecky Nyambaya amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania Ubunge wa Jimbo la Ukonga Jijini Dar es Salaam.

Nyambaya ana uzoefu mkubwa katika kukuza na kuendeleza michezo chini kupitia soka la vijana kuanzia U17-20.

Pia Nyambaya amehusika katika mafanikio ya Timu ya Taifa, Taifa Stars pia Simba na Yanga katika nichuano ya kimataifa Afrika.