×

Zaylissa Atangaza Zawadi ya Gauni kwa Mfuasi Insta!

Mwanadada mrembo na maarufu mtandaoni, Zaylissa akiwa ndani ya gauni lake atakaloligawa kwa mashabiki.

Mwanadada mrembo na maarufu mtandaoni, Zaylissa, leo amezua gumzo mitandaoni baada ya kutangaza kuwa anataka kugawa gauni lake zuri kwa mtu mmoja atakayebahatika!

Kupitia ukurasa wake, Zaylissa aliandika kwa msisimko:

“Nataka kugawa hii gauni Leo… Unaitaka!? Okay 😍 Weka comment yako hapo… Na isipoguswa na mtu yoyote basi nitakupa hili gauni BUREEEEE!”

Mashabiki na wafuasi wake wamejaa kwenye sehemu ya maoni wakijaribu bahati yao, huku wengine wakipongeza ukarimu wake na muonekano wa kuvutia wa gauni hilo.

BABA wa MSANII WEMA wa SHILINGI ALIYEFARIKI ASHTUA – “NINA SHAKA na KIFO cha MWANANGU-SIKUONA MAITI”