
Meridianbet imekuletea msimu mpya uliojaa ushindi kupitia Playtech Lucky Rush Tournament, promosheni kubwa ya mashindano ya sloti. Promosheni hii imeanza tarehe 27 Juni na itamalizika tarehe 3 Agosti 2025, na wachezaji watashiriki katika mashindano matano ya leaderboard, kila moja likiwa na zawadi ya TZS 300,000,000, na nafasi ya kushinda kwa wachezaji 5,000 katika kila duru. Jumla ya zawadi zote kwa kipindi chote cha promosheni ni TZS 1,500,000,000.
Kila mchezaji anapaswa kujiandikisha (opt-in) kwenye kila leaderboard kabla ya kuanza kucheza, kwani hakuna ushiriki wa moja kwa moja. Hakuna kiwango cha chini cha dau kinachohitajika kushiriki, na zawadi zote ni pesa taslimu zisizo na masharti ya kuchezwa tena (wagering-free), hivyo unaweza kutoa ushindi wako mara moja baada ya kutangazwa mshindi.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Ili kupata pointi, mchezaji atapewa alama kulingana na uwiano wa ushindi dhidi ya dau kwa kila spin. Kwa mfano, ikiwa utabeti TZS 5,000 na ukashinda TZS 250,000, utapata pointi 50. Kwenye kila duru ya mashindano, spins 5,000 za mwanzo tu ndizo zitahesabiwa, na spins zako 25 bora ndizo zitakazotumika kuamua nafasi yako kwenye leaderboard. Ushindi mkubwa wa spin moja unaweza kukupatia ushindi mkubwa wa pesa taslimu.
Michezo shiriki kwenye promosheni hii ni kutoka kwenye michezo maarufu ya Playtech kama vile Age of the Gods: King of Olympus, God of Storms na Cash Collect, Fire Blaze: Pharaoh’s Daughter, Blue Wizard, Breaking Bad: Cash Collect, Mega Fire Blaze: Wild Pistolero, na Piggies and the Bank: Cash Collect & Link, pamoja na mingine mingi.
Endapo itatokea kukawa na sare ya pointi, mchezaji mwenye spins nyingi zilizobaki atapewa kipaumbele. Iwapo bado kuna sare, mshindi atakuwa ni yule aliyechuma pointi hizo mapema zaidi. Wachezaji wote waliopata zaidi ya pointi 1 pekee ndio watakaozingatiwa kwenye orodha ya washindi.
Hii ni nafasi yako ya kugeuza spins zako kuwa mamilioni ya pesa. Tembelea meridianbet.co.tz au fungua app ya Meridianbet, jiandikishe kwenye leaderboard, kisha cheza sloti unazozipenda. Bahati inaweza kuwa upande wako, shinda sehemu ya TZS 1.5 Bilioni na uwe bingwa wa Lucky Rush Tournament.