×

Mchungaji Mfupi Leonard Afunga Ndoa Ya Kihistoria Na Mrembo Mrefu Eliza- Video


Mchungaji Leonard alivyomtambulisha mke Eliza nyumbani mara baada ya kufunga ndoa takatifu jana Julai 12, 2025 katika Kanisa la Pentekoste lililopo Katumba, Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya.