
Je, wewe ni mpenzi wa michezo ya kasino? Je, unatumia muda wako kwenye michezo ya Slots, Roulette, Blackjackau Poker? Basi habari njema ni kwamba Meridianbet sasa inakuzawadia kwa uaminifu wako. Kupitia promosheni mpya inayotikisa jiji ya Loyalty Pays, unaweza kujishindia hadi TSH 10,000,000 kila Ijumaa. Ndiyo, mamilioni ya pesa kwa kila wiki, kwa wateja waliodumu na kuwa waaminifu kwenye jukwaa la Meridianbet.
Promosheni hii kabambe inaendeshwa kwa kauli mbiu ya kusisimua ya LOYALTY PAYS, yaani “Uaminifu Unalipa”. Kwa mara nyingine tena, Meridianbet inadhihirisha kuwa siyo tu kampuni ya kubashiri, bali ni taasisi ya kuburudisha na kuthamini wateja wake. Hii si zawadi ya bahati nasibu, ni matokeo ya bidii yako ya kila siku unayoiweka kwenye michezo ya kasino. Kila wiki, Meridianbet inaangalia wateja waliotumia zaidi michezo ya kasino kwa kutumia pesa taslimu.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Ili kuingia kwenye orodha ya wanaowania zawadi, fuata hatua hizi:
Hakikisha una akaunti ya Meridianbet, fungua kupitia tovuti au app rasmi ya Meridianbet.
Cheza michezo ya kasino kuanzia Ijumaa hadi Alhamisi kwa kuhakikisha unatumia pesa halisi.
Tumia dau la angalau TSH 50,000 kwa siku kwa siku zote saba za wiki.
Kila siku unayokamilisha kiwango hicho, unajizolea pointi za thamani ya TSH 2,500 kwa kila pointi. Kadri unavyokusanya pointi unapanda juu nafasi ya kushinda hadi TSH 150,000 kwa kila bonasi.
Meridianbet inakupatia mfumo mzuri kabisa wa kukusanya alama, kulingana na aina ya mchezo unaocheza. Slots & Games zina alama 4 kwa kila mzunguko, Roulette & Poker zinakupa alama 1 kwa kila mchezo huku Blackjack & Quiz Games zikiwa na alama 0.5 kwa kila mchezo.
Wakati wateja wengi wa kasino mtandaoni hupoteza bila kujua ni kwa nini, Meridianbet imekuja na njia ya kurejesha sehemu ya kile unachowekeza. Kwa wale wanaocheza mara kwa mara, hii ni fursa ya kuleta thamani kwenye kila spin, kila dau, na kila mchezo. Na kinachofurahisha zaidi? Ushindi wa bonasi si wa mara moja tu, kila wiki, kila Ijumaa, nafasi mpya inaanza.
Kama wewe ni mchezaji wa michezo ya kasino, usikae pembeni. Sajili akaunti yako ya meridianbet leo, cheza michezo unayopenda, timiza masharti na jikusanyie pointi zako za kutosha