
Msanii wa Bongofleva, Dogo Janja, aibuka kidedea kwenye kura za maoni CCM Kata ya Ngarenaro, akimshinda aliyekuwa diwani Isaya Doita kwa tofauti ya kura 16.
🗳️ Wapiga kura walioshiriki: 139
✅ Kura halali: 138
❌ Kura isiyoonekana: 1
📊 Matokeo:
Dogo Janja – 76
Isaya Doita – 60
Benjamin Mboyo – 2
Msimamizi: Sophia Islam
Mwandishi: Janeth Mushi