
Katika harakati za kuhakikisha furaha inapatikana kwa kila mbashiri, Meridianbet inaleta ubunifu wa kipekee kwa wateja wake, ni bet boost, kipengele maalum cha kuongeza nguvu ya odds zako na kukupeleka moja kwa moja kwenye nafasi ya ushindi mkubwa zaidi.
Bet Boost ni huduma iliyoundwa mahsusi kwa wabashiri wanaotaka kuongeza zaidi faida kuliko kawaida. Inakuwezesha kuongeza ukubwa wa odds za mechi ulizochagua, hivyo kukuongezea nafasi ya kupata malipo makubwa zaidi.
Kuna aina kuu mbili za huduma hii, ya kwanza ikiwa ni Bet Boost ya Mchanganyiko maalum ulioongezewa odds zaidi ya kiwango cha kawaida. Na ya pili ikiwa ni Single Boost inayohusisha uchaguzi wa mechi moja inayoongezewa odds kuliko soko la kawaida.
Kutumia bet boost ni rahisi sana ingawa kuna masharti yaliyowekwa kuhakikisha mchezo unakuwa wa haki kwa watumiaji wote. Kwanza, huwezi kuweka zaidi ya BetBoost moja kutoka tukio moja kwenye tiketi moja, vilevile, huwezi kuchanganya BetBoost na soko la kawaida kwa mechi moja, unaweza kuunganisha BetBoost kutoka matukio tofauti, bonus ya idadi ya mechi haitumiki kwenye tiketi zenye BetBoost na mwisho kabisa, Cashout inapatikana tu baada ya mechi zote zenye bet boost kwenye tiketi kukamilika.
NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Kiwango cha odds zinazoongezeka kinaamuliwa na Meridianbet na kinaweza kubadilika kulingana na ofa. Na kwa wapenzi wa soka na mpira wa kikapu, BetBuilder Boost inapatikana kuongeza chaguo zako zaidi.
Kabla ya kuitumia bet boost ni vyema kufahamu kwamba ikiwa chaguo moja kilicho ongezwa odds kitapoteza, BetBoost nzima inapotea na ikiwa chaguo moja wapo liitaahirishwa na machaguo mengine kushinda, BetBoost nzima itaahirishwa huku ikiwa chaguo moja litaahirishwa na machaguo mengine kupoteza, BetBoost inahesabiwa kuwa imepotea.
Bet Boost inapatikana mtandaoni pekee kupitia meridianbet.co.tz. Endapo kutakuwa na udanganyifu, matumizi mabaya ya ofa au hitilafu za kiufundi zinazoathiri usawa wa mchezo, basi Meridianbet inahifadhi haki ya kuondoa bonasi na ushindi wowote uliotokana na ofa hiyo.
Kwa Bet Boost, hufanyi tu bashiri, unaongeza kiwango cha faida, odds kubwa zaidi, furaha kubwa zaidi, na ushindi mkubwa zaidi. Yote haya, ni ndani ya Meridianbet pekee.