×

Playson Short Races, Ibuka Bingwa Uondoka Na Hadi TZS Bilioni 6

Meridianbet inazidi kuupa moto ulimwengu wa kasino mtandaoni kwa kuwaletea mashabiki Playson Short Races mashindano ya kasi yanayowapa wachezaji nafasi ya kipekee kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.

Kila usiku kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku, kila mzunguko unaoucheza kwenye sloti za Playson unakuwa ni tiketi ya kukupandisha kwenye leaderboard na kukukaribisha kwenye klabu ya washindi wakubwa.

Kila siku kuna mbio 10 za kasi zenye zawadi nono. Dau dogo tu la kuanzia TZS 600 ndilo linakufungulia milango ya kinyang’anyiro hiki cha kifalme. Kila ushindi unakuongezea pointi zako, na kadri unavyopanda juu kwenye leaderboard ndivyo unavyokaribia kitita kikubwa cha pesa halisi.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Uzuri zaidi ni kwamba washindi wote hulipwa ndani ya siku tatu tu, pesa halisi moja kwa moja kwenye akaunti zao za Meridianbet. Hakuna kungoja, hakuna usumbufu, ni ushindi mtupu.

Mashindano haya yanagawanya jumla ya hadi TZS Bilioni 6 kila mwezi, na ni maalum kwa wale wanaocheza kwa pesa halisi pekee. Hakuna bonasi, hakuna ujanja, ni wewe, dau lako, na bahati yako ya ushindi.

Mashindano yalianza tarehe 9 Agosti na yanaendelea hadi mwisho wa mwezi huu. Huu ndio wakati wako wa kuishi kibingwa, kuonyesha uwezo wako, na kuondoka na ushindi mkubwa kila siku.

Fungua akaunti yako Meridianbet kupitia tovuti au app ya simu, weka dau lako kuanzia TZS 600/- tu, na uwe sehemu ya historia ya washindi wa Playson Short Races.