×

Vodacom Τanzania Open Golf Championship 2025 Mguu Sawa

 Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na Chama cha mchezo wa Gofu Tanzania (TGU), kimewakutanisha jumla ya wachezaji 150 wa mchezo huo, kutoka mataifa zaidi ya nane Duniani, shabaha kuu ikiwa ni kuendelea kuongeza ushindani wa mchezo wa gofu nchini na baadaye kimataifa kupitia mchezo huo.

Leave a Comment