×

Video: Ajali Kubwa Kwa Idd, Arumeru: Basi la Dar Express Lagongwa na Daladala


Ajali mbaya imeripotiwa katika eneo la Kwa Idd, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, baada ya basi la kampuni ya Dar Express kugongana na daladala ya abiria.

Taarifa za awali zinaonesha kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa, huku baadhi ya majeruhi wakiwa katika hali hatari. Magari yote mawili yameharibika vibaya sehemu ya mbele.

Leave a Comment