Rais JPM Atengua Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA
Global Publishers November 20, 2016
SHARE THIS:
Rais Dk. John Pombe Magufuli leo ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Bernard Mchomvu na kuivunja bodi hiyo. Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo na bodi ya mamlaka hiyo kutangazwa baadaye.