HabariKitaifa Rais Magufuli Amteua Charles Kichere Kuwa Naibu Kamishna Mkuu TRA Last updated Nov 20, 2016 Share Rais Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Bw. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bw. Kichere ameteuliwa kuzaja nafasi iliyokuwa wazi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Magufuli Share
Comments are closed.