×

Rais Magufuli Atoboa Siri ya Kuivunja Bodi ya TRA

1Rais John Magufuli

KUIDHINISHWA kwa Bodi ya Mamlaka ya Mapato  (TRA) kuweka mabilioni ya fedha katika benki binafsi ndiyo sababu iliyomfanya Rais John Magufuli kuivunja bodi hiyo.

magufuli-1

Rais Magufuli aliyasema hayo leo katika sherehe za mahafali ya Chuo Kikuu Huria  huko Kibaha Mkoa wa  Pwani aliposisitiza kwamba TRA walichukua mabilioni ya  fedha na kuyaweka kwenye akaunti za muda maalum (fixed accounts) katika  benki nane ambapo bodi ikaidhinisha.

magufuli-3Wiki iliyopita Rais Magufuli alivunja bodi hiyo na kutengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi hiyo, Bernard Mchomvu bila kueleza sababu zozote.magufuli-2

magufuli