×

Wafuasi wa Prof. Lipumba na wa Maalim Seif Wazichapa Nje ya Mahakama

malif-na-lipumbaDar es Salaam: Wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono Prof. Lipumba na wa Maalim Seif wamepigana nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakati kesi ya Lipumba ikisikilizwa.

Huu ni mfululizo wa matukio yanayoashiria kuwa hali bado si shwari ndani ya Chama cha Wananchi(CUF) tangu Prof. Lipumba alipodai kurejea katika nafasi ya Uenyekiti.