×

Shoo Ya EATV 2016 Wasanii Wafunikana Mlimani City, Dar

ali-kiba-3Mshindi wa tuzo tatu za EATV 2016 katika vipengele vya Video Bora ya Mwaka, Wimbo Bora wa Mwaka na Mwanamuziki Bora wa Kiume, Ali Kiba ‘King Kiba’ akitoa burudani ndani ya Ukumbi wa Mlimani City juzi Jumamosi.

ali-kiba-2King Kiba akiongea na mashabiki wake.

ali-kiba-5Mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akienda kumtunza mpenzi wake, Ali Kiba.

dimpoz-1

Ommy Dimpoz na Ali kiba wakiimba wimbo wao mpya wa Kajiandae.

dimpoz-2 dimpoz-3

Ommy Dimpoz akiendelea kutoa burudani.

dimpoz-5

  dimpozi-2 dimpozi-3

Ommy Dimpoz akicheza na shabiki wake.

dimpozi-4

Wakiendelea kuonyesha machejo mbele ya mashabiki.

  jide-3 jide-4

Staa wa Bongo Fleva, Lady Jaydee ‘Anaconda’ akitoa burudani.

jide-5

 Jaydee akitunzwa na shabiki wake.

vanessa-1 vanessa-2

Staa wa Bongo Fleva anayekamata anga za kimataifa, Vanessa Mdee ‘V-Money’ akifanya yake.

vanessa-3

V-Money akicheza na wacheza shoo wake.

img_5748

Msanii wa muziki nchini Kenya, Wahu akifanya yake.

img_5739

Akiongea na mashabiki wake.

 img_6034

Msanii wa muziki wa Bongo fleva nchini, Elias Barnabas ‘Barnaba’ akiimba wimbo wake mpya wa Lover Boy.

img_6035

Akiongea na mashabiki.

img_6024 img_6027

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Shetta akifanya yeke jukwaani na wacheza shoo wake.

PICHA: RICHARD BUKOS/GPL

rap