Timu ya wanaume ya Soka ya Bunge la Uganda imetwaa ubingwa katika Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki baada ya kuifunga Timu ya Burundi kwa bao 7-6, mechi ya Fainali ya Mashindano hayo iliyochezwa Jumapili, Desemba 11, 2016 jijini Mombasa nchini Kenya.
Timu ya ‘netball’ ya Bunge la Uganda imetwaa ubingwa wa katika Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki baada ya kuifunga Tanzania 38-29.
Darassa Afunguka Tuhuma za Kuiba Beat ya Saida Karoli Kwenye Wimbo Wake wa Muziki


