×

Mashabiki Walivyoupokea Mwaka Mpya wa 2017 Ndani ya Dar Live

img_3384 img_3385 img_3386 img_3388 img_3392 img_3394 img_3395 img_3396 img_3398 img_3399 img_3400 img_3402 img_3409 img_3411 img_3415 img_3416 img_3418 img_3419 img_3420 img_3421 img_3422 img_3423 img_3424

Mashabiki waliokuwa wamefurika kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kwenye mkesha wa mwaka mpya kulipokuwa na shoo kali ya Nichane Nikuchane ambapo miamba miwili, Roma na Darassa ilioneshana kazi, walipata fursa ya kipekee ya kuupokea mwaka wakiwa ndani ya ukumbi huo na kuandika historia ya kipekee ya kuuanza 2017 wakiwa ukumbini hapo. Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio yaliyotokea dakika chache kabla ya kutimu saa sita kamili za usiku, ilipotimu na yaliyoendelea baada ya kuuona mwaka mpya. Ilikuwa poa sana!