×

Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Dimani na Madiwani Tanzania Bara

5.Wajumbe wa kikao hicho wakishiriki kupiga kura za kumtafuta Naibu Meya.

Wanachi wakipiga kura katika chaguzi zilizopita.

Uchaguzi wa madiwani unafanyika kwenye kata Ishirini (20) katika Halmashauri Kumi na Tisa (19) za Tanzania Bara, kata hizo ni pamoja na….

6.Zoezi la kupiga kura likiendelea.

Wanachi wakipiga kura katika chaguzi zilizopita.

11.William Mtitu akiweka karatasi yake kwenye sanduka maalum baada ya kupiga kura.

Wanachi wakipiga kura katika chaguzi zilizopita.

1. Ngarenanyuki (Meru DC, Arusha),
2. Igombavanu (Mufindi DC, Iringa),
3. Ikweha (Mufindi DC, Iringa),
4. Kiwanja cha Ndege (Morogoro MC, Morogoro),
5. Ihumwa(Dodoma MC, Dodoma),
6. Kijichi (Temeke MC, Dar es Salaam),
7. Kahumulwa (Sengerema DC, Mwanza)
8. Maguu (Mbinga DC, Ruvuma),
9. Ng’hambi (Mpwapwa DC, Dodoma),
10. Kimwani (Muleba DC, Kagera),
11. Kinampundu (Mkalama DC, Singida),
12. Isagehe (Kahama TC, Shinyanga),
13. Kasansa (Mpimbwe DC, Katavi),
14. Duru (Babati DC, Manyara),
15. Malya (Kwimba D.C, Mwanza),
16. Misugusugu (Kibaha TC, Pwani),
17. Mateves (Arusha D.C, Arusha),
18. Nkome (Geita DC, Geita),
19. Lembeni (Mwanga DC, Kilimanjaro) na
20. Tanga (Songea MC, Ruvuma)