×

Matokeo Ubunge Jimbo la Dimani

screenshot_2017-01-23-12-30-41-1

Baaadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia ushindi katika katika Chaguzi zilizopita.

 

ZANZIBAR; Mgombea ubunge jimbo la Dimani kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Juma Ali Juma ameibuka mshindi baada ya kupata jumla ya kura 4860.

Aidha uchaguzi huo umefanyika jana Januari 22, 2017 ni baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Hifadh Ally Tahir kufariki dunia mwezi Novemba mwaka 2016.