SOMALIA: Takribani wagombea 24 wamejitokea kuwania Urais wa nchi ya Somalia ambapo uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika mnamo Februari 8 mwaka huu. Kati ya hao, ni wagombea 16 ambao wana uraia pacha.