
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ramadhani Kailima akisaini katika kitabu cha wageni alipowasili katika Ofisi za Kampuni ya Global Publishers.
Ramadhani Kailima akiingia katika chumba cha habari cha Global Publishers.

Ramadhani Kailima akijiandaa kufanya mahojiano na wanahabari.

Baadhi ya maofisa wa NEC wakiwa kwenye ofisi za Global Publishers.
Ramadhani Kailima akifanya mahojiano na wanahabari ndani ya ofisi za Global Publishers.
Picha zpote na Musa Mateja | Global Publishers