Mchezaji wa Yanga Ali Mustafa Batezi akisalimiana na mshabikiWachezaji wa Yanga mbele ni kocha msaidizi walipowasili leo katika uwanja wa Jk Nyerere
Haruna Niyonzima (kushoto) na kiongozi wa Yangawanahabari na mashabiki wa Yanga
Kelvin Yondani akisalimina na mashabikiDoktari Edward Bavu wa Yanga akifuatiwa na kocha wa makipa Juma PondamaliJuma Mwambusi Kocha Msaidizi wa YangaKocha mkuu wa Yanga George LwandaminaMashabiki wa Yanya wakisukuma kwa furaha gari la Katibu mkuu wa YangaJuma Mwambusi Kocha Msaidizi wa Yanga
Mashabiki wakikimbilia basi la Yanga lililobeba wachezaji
Mashabiki wakicheza na kuimba kuipongeza Yanga kwa ushindi wa goli 5 -1 huko Comoro
Mashabiki wakicheza na kuimba kuipongeza Yanga kwa ushindi wa goli 5 -1 huko Comoro